FT Simba Sc 0-1 Petro Atletico lCAF CLl Group Stagel l Benjamin Mkapa Stadium l 23-11-2025 l 10:00 Jioni

FT Simba Sc 0-1 Petro Atletico lCAF CLl Group Stagel l Benjamin Mkapa Stadium l 23-11-2025 l 10:00 Jioni

Sikuhizi upuuzi wa mpira tunaachia machawa ,watu wenye sense zao zinazofanyakazi sawasawa nadra sana kukuta wakijadili mpira kwenye nyakati ambazo Taifa lipo kwenye giza .
Ubalikiwe sana

Lakin pia naona hata hawana kabisa time na mpira kwa sasa

Angalia hata walio comment kwenye huu uzi ni wachache sana
 
Hahahahaha Yanga wameshtuka game zao wamehamishia Zanzibar, ardhi ya huku bara inanuka damu za watanganyika na watafungwa game zote watakazochezea bara.
 
Nilianza kupata usingizi lakini tangu ripoti ya CNN itoke nashindwa kulala kabisa imagine binadamu wameuwawa kama kuku halafu wamezikwa kwa pamoja. Ataeshinda aende tu lakini damu inalia ardhini na damu ikilia ndio madhara yake sio kwenye mpira tu. Mambo mengi yataharibika.
 
Tusisifu kuwa watu wapo siriazi hawafiki uwanjani kuangalia simba na Yanga kwanini hatuwazi labda waliokuwa wanajaza uwanja ndio hao vijana wameuawa?

Tusisifu jamiiforums watu wapo siriasi hawa anzishi uzi wala kufuatilia live hatuwezi kuwaza labda memba ndio hao wapo Kondo huko?

Location:Modeko morogoro
 
Umewaza mbali sana. Jana hili wazo lilinijia, hivi members wangapi wa JF waliuawa kwenye MO29?
 
Nilianza kupata usingizi lakini tangu ripoti ya CNN itoke nashindwa kulala kabisa imagine binadamu wameuwawa kama kuku halafu wamezikwa kwa pamoja. Ataeshinda aende tu lakini damu inalia ardhini na damu ikilia ndio madhara yake sio kwenye mpira tu. Mambo mengi yataharibika.
Lissu alivyomiminiwa risasi nilisema ardhi ya Tanzania na Dodoma kama makao makuu, haitapona mpaka itakaswe. Kwa sababu watawala wana vichwa vigumu na viburi, nadhani hali itazidi kuwa mbaya sana kabla kabla hawajakubali kufanya hilo.
 
Watanzania tumeanza kua serious zamani hii thread ingekua na isha fikia pages 10 before match, comments za kutukanana na kubishana Simba na Yanga
Watu wengi hawajui kama jf Iko hewani,hata hizo mada moto za sasa hazina watu wengi kama inavyopaswa
 
Back
Top Bottom