FT Simba Sc 0-1 Petro Atletico lCAF CLl Group Stagel l Benjamin Mkapa Stadium l 23-11-2025 l 10:00 Jioni

Lissu alivyomiminiwa risasi nilisema ardhi ya Tanzania na Dodoma kama makao makuu, haitapona mpaka itakaswe. Kwa sababu watawala wana vichwa vigumu na viburi, nadhani hali itazidi kuwa mbaya sana kabla kabla hawajakubali kufanya hilo.
Porojo zingine banah..
Palestina israel
Urusi ukrain
Na vita zilizopigwa duniani
kuna umwagaji mkubwa wa damu huwa nani anaenda kupatakasa?
 
Unaongeza porojo nyingine tena.
Kwahiyo utakaso ni Tanzania tu?
Usivyo na akili umeprove point yangu kwa kutolea mifano ya maeneo ambayo toka umwagaji damu umeanza, hawajaijua amani. Eti nyie ndiyo washauri wa serikali. Vipi nyama ya watu inatest vipi, kama kuku au kitomoto?
 
Mkuu unaongea Porojo.
Ulizungumzia takaso ndo nimejikita hapo,
Au utakaso unahusu sehemu zenye amani tu?
Lakini pia uandishi wako una haki yakuniambia sina akili.
 
Mmejimilikisha nchi hadi leo hii kauli za Nyerere mnaita porojo ila mnatuhadaa kwa kila kitu kukipa jina lake.
 
Najua hufahamu kanuni ya ulimwengu.
Lazima kuwe na wenye nguvu na wanyonge.
Lazima kuwe na wajuzi na wajinga.
Ndo maana kuna mataifa yenye nguvu kuliko mengine.
Ndo maana kuna mitume na kondoo/waumini.
Kwani Nyerere wakati anasema hayo alikuwa sawa na wenzie au alikuwa juu yao?

Mkisoma jitahidini mtoke katika utumwa wa kifikra ..
Ukikazana Nyerere alisema wewe umesema nini tofauti na Nyerere?
 
Kama mnamkana Nyerere acheni kutuhadaa kwa kila project kuipa jina lake kumbe ni mafisadi tu mnaonuka damu za Watanzania.
 
Mkuu mbona unafanya kauli za Nyerere ziwe kanuni za taifa?
Kwa kuwa nyerere hakuzungumzia kujenga madaraja watu wasijenga kisa wataenda kinyume na nyerere?
Kwamba nyerere ndo mikono yake haikuwa na damu?
Unaelewa kweli wale askari walitaka pindua nchi Nyerere aliwafanyaje?
Hata hivo napoteza muda kuhoji POROJO
 
Tunazunguka pale pale. Kama huo ndiyo mtazamo wenu kuhusu Nyerere, acheni kutuhadaa kwa kila project kuipa jina lake kumbe nyie ni wezi tu na mnanuka damu za Watanzania.
 
Turudi tulipoanzia.
Kutakaswa ni Tanzania tu?
Kwanini Israel palestina urusi wasitakaswe?
Au wao utakaso hauwahusu?
 
Unarudia makosa yako yale yale huku ukiwa haujajifunza ulipokosea pamoja na kwamba nimejaribu kukuonyesha ulipokosea. Halafu nyie eti ndiyo mnategemewa kuendesha nchi. Ndiyo maana haishangazi tulipo hapa tulipo.
 
Huna nguvu
Huna uwezo
Ndo maana unatawaliwa
Ndo maana huna cha kufanya zaidi ya kuandika
Tii kanuni za kiulimwengu.
 
Haujui unachoongea na hauna cha kunifundisha kuhusu ulimwengu. Labda bibi yako ndiyo hana nguvu wala uwezo na anatawaliwa ila katika kidemokrasia, wenye nguvu ni wananchi. Ndiyo maana duniani kote, viongozi wanaokengeuka na kudhani wana nguvu kuliko wenye nchi huwa wanaondolewa.
 
Kunywa Dawa mkuu ulale usijepitiliza muda wa dawa maana unazidisha Porojo.
 
Back
Top Bottom