FT Simba Sc 0-1 Petro Atletico lCAF CLl Group Stagel l Benjamin Mkapa Stadium l 23-11-2025 l 10:00 Jioni

FT Simba Sc 0-1 Petro Atletico lCAF CLl Group Stagel l Benjamin Mkapa Stadium l 23-11-2025 l 10:00 Jioni

Kunywa Dawa mkuu ulale usijepitiliza muda wa dawa maana unazidisha Porojo.
Mnafanya siasa kuwa jinai halafu wakati huo huo nyie wenyewe mnataka mfanye siasa. Sijui mnatumia akili za wapi. Shida yenu hamna akili halafu mnadhani madaraka na vyeo ndiyo vitawapa akili.
 
Tume huru, mahakama huru na bunge huru bana. Raisi ana madaraka makubwa mno mbona Maderu anasema kuwa Tanzania ni ya wote Ila Kuna familia wao ndio wanaokula Kodi za watanzania wanajimililisha vitega uchumi mkubwa kwa kuwapa wawekezaji wa mchongo ambao hata hatujui kuwa mapato wanalipaje
Sheria Kali mno namna ya kuitumia Kodi sio tu kulipa Bali sio mtu aitumie ovyo ovyo yaani mtu anaiba Kodi haguswi anapandishaa cheo Ila mama ntilie anakwepa Kodi anapigwa faini balaa sio la dunia hii
 
Back
Top Bottom