FT Simba Sc 0-1 Petro Atletico lCAF CLl Group Stagel l Benjamin Mkapa Stadium l 23-11-2025 l 10:00 Jioni

humu team hamna aisee smba yangu sijui imekuwaje viongozi wamekuwa matapeli sana.
 
Watanzania tumeanza kua serious zamani hii thread ingekua na isha fikia pages 10 before match, comments za kutukanana na kubishana Simba na Yanga
Sikuhizi upuuzi wa mpira tunaachia machawa ,watu wenye sense zao zinazofanyakazi sawasawa nadra sana kukuta wakijadili mpira kwenye nyakati ambazo Taifa lipo kwenye giza .
 
Watanzania tumeanza kua serious zamani hii thread ingekua na isha fikia pages 10 before match, comments za kutukanana na kubishana Simba na Yanga
Watu wengi kwa sasa wanawaza tu kinuke tena D9 ili wahuni watoke madarakani. Ingekuwa ni enzi hizo, uzi ungeanzishwa saa sita za usiku! Ila leo eti umeanzishwa saa 4 asubuhi! Na mpaka muda huu wachangiaji hata 20 hawafiki.
 
Kabisa.
Watanzania tumeanza kua serious zamani hii thread ingekua na isha fikia pages 10 before match, comments za kutukanana na kubishana Simba na Yanga
Kabisa, ama mashabiki wengi ndio wamekufa nini?

Hizi timu hazijawahi hata kutoa pole kwa raia ambao wengi ni mashabiki zao.

Hata uwanjani tu watu ni kama wameanza kuachana na upumbavu.
 
Watanzania tumeanza kua serious zamani hii thread ingekua na isha fikia pages 10 before match, comments za kutukanana na kubishana Simba na Yanga
Tangu wafungie JF thread za aina hii zimekuwa hazina wachangiaji wengi

Wameanza kuwa serious na wamejazana kwa mkapa wengi tu 😂😂
 
Ubaya ubwege mngeshinda, mngesema ni kwa sababu wapinzani walivaa nguo kama za Yanga 😂
 
Back
Top Bottom