Gen-Z hawatanii! Wamegomea kabisa mechi ya Simba na Azam? Timu zitalia Njaa muda si mrefu!Leo, katika mwendelezo wa Ligi Kuu ya NBC, Simba SC itakuwa na kibarua kizito mbele ya Azam FC. Mchezo utachezwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam, majira ya saa 5:00 jioni. Je, ni mbinu ya kocha Matola au Ibenge itakayowezesha timu kuondoka na alama zote 3?
View attachment 3512669
Kikosi cha Simba Kinachoanza dhidi ya Azam FC
View attachment 3512670
Kikosi cha Azam FC kinachoanza dhidi ya Simba Sc
Sasa kwani hii mechi haihusiani na nchi?Hatutaki, tupo.busy.na Nchi
Hii mechi inahusiana na nchi kwa lipi?Sasa kwani hii mechi haihusiani na nchi?
Au za BayernDah! Uzi una comment chache kama odds za man city
Haya matokeo yalio wekwa hapo juu ni uonevu WA wazi kabisa dhidi ya timu mojawapoLeo, katika mwendelezo wa Ligi Kuu ya NBC, Simba SC itakuwa na kibarua kizito mbele ya Azam FC. Mchezo utachezwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam, majira ya saa 5:00 jioni. Je, ni mbinu ya kocha Matola au Ibenge itakayowezesha timu kuondoka na alama zote 3?
View attachment 3512669
Kikosi cha Simba Kinachoanza dhidi ya Azam FC
View attachment 3512670
Kikosi cha Azam FC kinachoanza dhidi ya Simba Sc
Wamekata moto Simba na wamezidiwa mbinu hasa eneo la kiungo baada ya kuongezwa Akaminko ndo basi wakapoteana zaidi.Simba nao wajinga