Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 14,677
- 18,561
Kwani hizo team ni za nchi gani au ni ligi ya nchi gani hiyoHii mechi inahusiana na nchi kwa lipi?
Haya sasa matola si jana tu aliomba apewe ukocha mkuu wa kolo? Nasema hiviiii: msipomfukuza huyu kimeo, msimu ujao mtacheza ligi ya champion.Simba sijui wanacheza nini naona kama hawaeleweki
Mwanangu uwanjani kweupe kabisa π€£Gen-Z hawatanii! Wamegomea kabisa mechi ya Simba na Azam? Timu zitalia Njaa muda si mrefu!
π€£π€£ Kwani mbona sioni anacho jifunza maana Kila msimu yupo kama second coach lakini akipewa team product yake inakuwa zero !!!Haya sasa matola si jana tu aliomba apewe ukocha mkuu wa kolo? Nasema hiviiii: msipomfukuza huyu kimeo, msimu ujao mtacheza ligi ya champion.
Gen-Z siyo mchezo! Wanaweza kukufanya ukapotea jumla!Mwanangu uwanjani kweupe kabisa π€£
Nasikia wengi wamekimbilia mikoaniMwanangu uwanjani kweupe kabisa π€£
Sio kweli.Nasikia wengi wamekimbilia mikoani
Dodoma mechi ya Costal Vs Yanga mbona wamejaa?Sio kweli.
Matola atuachie timu yetu. Tunamtaka Mgunda.Hatumtaki Mangungu!!
Vurugu zilivuruga utafutaji wa rizkiWatu wamepoteza kabisa hamasa ya mpira wa Tanzania...ππππ
Ufanye uhalifu upewe pole?Hao wahuni niliwakataa hawakutoa pole oktoba 29
Sawa nme kuelewa ktmbw Sasa etiUfanye uhalifu upewe pole?
Mamaako kabinuka saa hizi kama anajambia moto wa tambikoSawa nme kuelewa ktmbw Sasa eti
Matola apewe anafaa tumpe mudaHaya sasa matola si jana tu aliomba apewe ukocha mkuu wa kolo? Nasema hiviiii: msipomfukuza huyu kimeo, msimu ujao mtacheza ligi ya champion.
Una mtukan mama yangu hakuna anacho jua kati yangu na wewe hajui hata jf, ukiamka mdomo upo upande ulaumu?Mamaako kabinuka saa hizi kama anajambia moto wa tambiko