FT: Simba SC 1-0 Ihefu FC | Ligi Kuu Bara | Stade de Benjamin Mkapa 12/11/2022

Simba hii sio ile tunayokuwaga tunaitarajia kabla ya mechi. Yaani game ikianza, pass nyingi zisizo na madhara, mpira unachezwa sana nyuma na kati na ubunifu wa viungo kupiga pasi mpenyezo na mashambulizi ya kushtukiza hakuna kabisa. Kwa mpira huu gap la Chama linaonekana wazi....
 
Hii mechi inaweza kuenda sare.simba hawana nidhamu ya kumalizia game kabisa, sijui kwann kibu denis kaingia mana akili ya mpira hana kabisa hii nafasi ni kumtoka tu kipa yeye anaguswa anaanguka chini ili iweje sasa ?? Kwann asingejikaza akaenda kufunga goli la pili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…