FT: Simba SC 1-0 Ihefu FC | Ligi Kuu Bara | Stade de Benjamin Mkapa 12/11/2022

FT: Simba SC 1-0 Ihefu FC | Ligi Kuu Bara | Stade de Benjamin Mkapa 12/11/2022

81' Kanoute anaonyeshwa Kadi ya Njano kwa mchezo mbaya

Simba SC 1-0 Ihefu FC
 
Daah tunaongoza ila kusema ukweli wanasimba wenzangu timu yetu mbovu sana,Yanga hatuwawezi,yaani sisi Chama tu hayupo tunahangaika ivi.........

Guvu moya 😀
 
Baada ya mechi kuna wapuuzi wapenda kamera ambao hata kadi ya chama hawana na wengine hawaja lipia kadi zao,watazikimbilia kamera na kusema Mgunda hafai ili mradi tu nao waonekane.

Huu upuuzi si upendi kishenzi.
Mgunda apewe ulinzi

Guvu moya 😀
 
Baada ya ushindi wa leo, kinachofuatia sasa ni kipindi kigumu cha sare na kufungwa.
 
Back
Top Bottom