Bila kutafuta kocha mwingine simba haina kitu. Kocha hana mbinu anabebwa na uwezo binafsi wa wachezaji. Pengo la chama linaonekana. Kocha alitakiwa kutengeneza mbadala. Unapata ushindi wa taabu kwa timu inayoburuza mkia hiyo maana yake timu yako haiko vizuri.