Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Anapigia debe mkataba mpya na timu nyingine akitemwaMechi za mauzo lazima akaze.
Simba anaye create identity yenu ni Chama kwa leo hayupo na ndio maana hamuioni hiyo identity.Ila Toka aondoke uchebe, Simba tumekosa identity yetu ya uchezaji... Haijulikani tunacheza mpira wa aina gani.. Yaani Kuna mda timu inapooza paka unajiuliza hii ni Simba au...
Atachekecheka tu38' Chirwa anamchekecha Hussein lakini anamdhibitiwa mpira anao Manula.
Simba tafuteni kocha mapema. Kama hata ihefu inawatoa kamasi, huko tuendako ni mwendo wa kupokea kipigo.
Simba anaye create identity yenu ni Chama kwa leo hayupo na ndio maana hamuioni hiyo identity.
Wamefanya vizuri tu39' Namna gani hapa Phiri na Kyombo wanashindwa kufanya maamuzi sahihi lango la Ihefu
Pamoja na baadhi ya wachezaji kutokuwa hadhi ya Simba ila tatizo ni kocha lipo wazi.. Mgunda ni avarage coach.. level za kufundisha timu kama namungo na kageraSimba shida wachezaji sio kocha
πππHawa tukiwapelekea pressure kama alivyofanya Sakho lazima watavurugika
Ukikumbuka mechi sita hujamfunga hata moja unachokaMpira huu... lolote linawezekana. hata Utopolo mbovu ilimtoa mwarabu juzi
Hawa wachezaji hata aje kocha nani hawatofanya chochoteSimba shida wachezaji sio kocha
Jamani Pep mnene leo mnamkana,tuachieni kocha wetu,akiweka mikono mfukoni tunashindaPamoja na baadhi ya wachezaji kutokuwa hadhi ya Simba ila tatizo ni kocha lipo wazi.. Mgunda ni avarage coach.. level za kufundisha timu kama namungo na kagera