Hatutaki umbeaWamefanya vizuri tu
Guvu moya π
Hela hawana msimu huu Azam hela anayo na ndio maana wakatibua kwa Sopu na Ndala,Yanga nao hela wanayo na ndio maana wakamchukua Aziz K.Kama Simba wangefight kuwapata hao wachezaji msimu huu angekuwa wa moto.Timu inakuwaje na mchezaji mmoja tegemeo kama ngumi?
Guvu moya π
Futibo ni fea plei.......Ihefu, hao mnaocheza nao ni nyau tu, wasiwatishe
Utajiongelesha sana na ulisema tuweke elfu 50 simba mbovu mnabishaHawa tukiwapelekea pressure kama alivyofanya Sakho lazima watavurugika
Simba hata aje nani, kyombo atabakia kua mbovu tuSimba tafuteni kocha mapema. Kama hata ihefu inawatoa kamasi, huko tuendako ni mwendo wa kupokea kipigo.
Bilioni 20 tunayoHela hawana msimu huu Azam hela anayo na ndio maana wakatibua kwa Sopu na Ndala,Yanga nao hela wanayo na ndio maana wakamchukua Aziz K.Kama Simba wangefight kuwapata hao wachezaji msimu huu angekuwa wa moto.
Tena kama Yusuph Bakheresa msimu huu alikuwa anatibua mpaka kwa Yanga,sema Yanga kwa Aziz alianza mapema kimfukuzia. Yusuph alikuwa anaenda mwenyewe kuongea na mchezaji.
Yule mzungu alikuwa anawwmbia mnasema mbayaPamoja na baadhi ya wachezaji kutokuwa hadhi ya Simba ila tatizo ni kocha lipo wazi.. Mgunda ni avarage coach.. level za kufundisha timu kama namungo na kagera
Tuache tupo vizuri sanaSimba hata aje nani, kyombo atabakia kua mbovu tu
Na anakimbiza ligi ya Egypt huko na ItihadYule mzungu alikuwa anawwmbia mnasema mbaya
Yaani ni kazi kwelikweliMikia mpaka sasa hatujapata Shot on Target [emoji4]
Guvu moya πMikia mpaka sasa hatujapata Shot on Target π