OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
koh kohhh...πππππSimba nguvu moja mapema tu tu napiga watu
bado mna dakika 45 ni mapemaGadiola mnene anapaswa awajibishwe.[emoji19][emoji19][emoji19]
Refa mkojo umembana unataka 5 za nini kama 45 umeshindwa kufungaHee Nyogeza 1 tu..!
Utakuwa una matatizo au mechi huangaliiMikia mpaka sasa hatujapata Shot on Target π
Tumewaambia wapaki basi kabisaKipindi cha Pili msikimbie nyie Mihogo.
tukimbie kwani ukishinda unaenda wapiKipindi cha Pili msikimbie nyie Mihogo.
Utakuwa uonezi tuSafari ya Mgunda kurudi kwao Tanga Naona imewadia. Hii Simba ni heri wangecheza Simba Queens
Guvu moya π anafukuza watutukimbie kwani ukishinda unaenda wapi
Nikweli,au leo kubadilisha π?
TUmpe muda Gadiola Mnene, ata fanya makubwa.
Niliandika mkanitukana sanaHT
Plan ya Ihefu imefanikiwa, Simba bado ni mtihani
Guvu moya πHatutaki matusi humu leo makolo...pliizz
ππHivi okwa alisajiliwa afanye mazoezi kule Mo arena tu?
Tutafute kocha matola atolewe mgunda abakie kuwa kocha msaidizi hiki kikosi sijakielewa