FT: Simba SC 1-0 Ihefu FC | Ligi Kuu Bara | Stade de Benjamin Mkapa 12/11/2022

FT: Simba SC 1-0 Ihefu FC | Ligi Kuu Bara | Stade de Benjamin Mkapa 12/11/2022

Vikosi vyote vya Simba SC na Ihefu FC kwenye mchezo wa leo.
20221112_180255~2.jpg
Screenshot_20221112-181942~3.jpg
 
Inakuje tena mnacheza na Ifehu nyie si mlisema level yenu kina Al Ahly Wydad Zamalek huku mnatafta nini
 
Timu zipo uwanjani zikipasha misuli moto tayari kwa mbiringe hii ya Ligi Kuu.
 
Ihefu FC wanaweza kwa Mnyama Mkali Mwituni [emoji881] au wanatafuta lawama.
20221112_184913.jpg
 
Wakati wowote mpira utaanza Uwanja wa Benjamin Mkapa

00' Naaaaaam mpira umeanza | Simba SC 0-0 Ihefu FC
 
Back
Top Bottom