Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ni Yanga ila kwa hiki kikosi... mnyama akiwakosa sana ihefu sio chini ya mkonoKikosi
Matatizo yote haya yamesababishwa na Club Africain. Mjini palikuwa shwari sana tukiendelea na Majaliwa wetu tu.Mwanangu Chirwa kapige palepale kwenye mshonoooo hakuna kipa hapo
Hii ni kwa mujibu wa sheria..hatuna jinsiInakuje tena mnacheza na Ifehu nyie si mlisema level yenu kina Al Ahly Wydad Zamalek huku mnatafta nini
Kama yeye ni mbombo sawaMoses Scars Phiri atafunga bao mbili