FT: Simba SC 1-0 Jamhuri SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex| Robo Fainali | 08.01.2024

FT: Simba SC 1-0 Jamhuri SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex| Robo Fainali | 08.01.2024

Mipira ambayo inachezeka kwenye lango letu inakuwa na hatari sana kuliko tukiwa tunacheza kwenye eneo la mpinzani
 
Morrison ana afadhali sana. Ulaya wanachoizidi Africa ni brain ya wachezaji wao. Siku mpira wautakapochezwa na vijana wenye akili za kichwani kiwango cha Div. 1 za point 7-12, wazungu watashika adabu zao. Shida mpira unachezwa failure brains.
Upo sahihi sana, mpira unachezwa na watu ambai hawaijui hata algebra ni nini.
 
Offside zimekuwa nyingi sasa
 
Huko nyuma (Jamuhuri) jamaa kazi yao ni kuondosha tu, mbinu nzuri sana.
 
Morrison ana afadhali sana. Ulaya wanachoizidi Africa ni brain ya wachezaji wao. Siku mpira wautakapochezwa na vijana wenye akili za kichwani kiwango cha Div. 1 za point 7-12, wazungu watashika adabu zao. Shida mpira unachezwa failure brains.
Duh!!
 
Hizi long pass na penetration pass naiona mipira mingi ikipotea kwa namna hii
Yaleyale matumizi ya akili. Wachezaji wanashindwa kuwa na maamuzi ya haraka na makadirio sahihi. Matokeo yake wanapoteza mipira kirahisi sana.
 
Hapa inabdi tufukuze kikosi chote tuanze upya kabsa tunaenda break bila goal lolote haya ni matusi kabsa
 
Morrison ana afadhali sana. Ulaya wanachoizidi Africa ni brain ya wachezaji wao. Siku mpira wa kiafrika utakapochezwa na vijana wenye akili za kichwani kiwango cha Div. 1 za point 7-12, wazungu watashika adabu zao. Shida mpira unachezwa failure brains.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka had machoziii. Yaan div 1 ya 7 had 12??
 
Back
Top Bottom