FT: Simba SC 1-0 JKT Tanzania | ASFC | Benjamin Mkapa

Kibu aliyeonekana kudevera mechi ya jumamosi leo kaja ku clear makosa yake
 
Kocha yupo kweli au Matole kapanga hiki kikosi.
Hawa si wachezaji wenu? Tena wapo watatu wa Kimataifa ila huoni tofauti ya hao wageni na wachezaji wetu wa home, ivi Peter Banda ndiyo huyu mliyekuwa mnatusimulia humu?
 
Simba anakosa nafasi, ambapo kama ingetiki tungekua tunahesabu
 
Ila ombeni huyu kocha wa JKT asipate matokeo, anamaneno ya shombo sana huyo jamaa
 
simba wanajipanga line moja wakiwa wanapiga cross. wanakuta wanapitwa wote
 
Waandishi na wachambuzi wa michezo katika nchi zao waliwashangaa Sakho na Banda kuja kucheza ligi ya Tanzania badala ya kwenda Ulaya. Sisi tunawashangaa waliwezaje kutushawishi Simba tukawasajili
Binafsi huwa naona viongozi wa timu zetu huwa wanaangalia kiwango cha mtu bila kujali amezungukwa na wachezaji wa aina gani,na je kwenye timu yangu wachezaji hao wapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…