Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiukweli hawastahili,labda wa prove wrong huko mbele hasa huyu Sacko anaweza kushangaza huko mbeleHuyu Sakho,Peter Banda inamaana nawao mnawalipia Residence na work permits kweli?
Anyway Mtanzania mwenye asili ya Congo 🇨🇩 kafunga
Hawa si wachezaji wenu? Tena wapo watatu wa Kimataifa ila huoni tofauti ya hao wageni na wachezaji wetu wa home, ivi Peter Banda ndiyo huyu mliyekuwa mnatusimulia humu?Kocha yupo kweli au Matole kapanga hiki kikosi.
Kuna wachezaji wanakuja hizi timu zetu toka nje, wanauwezo mdogo sana.....Kihimbwa au Kibaya wa Mtibwa wanamuacha mbali BandaKiukweli hawastahili,labda wa prove wrong huko mbele
Waandishi na wachambuzi wa michezo katika nchi zao waliwashangaa Sakho na Banda kuja kucheza ligi ya Tanzania badala ya kwenda Ulaya. Sisi tunawashangaa waliwezaje kutushawishi Simba tukawasajiliHuyu Sakho,Peter Banda inamaana nawao mnawalipia Residence na work permits kweli?
Binafsi huwa naona viongozi wa timu zetu huwa wanaangalia kiwango cha mtu bila kujali amezungukwa na wachezaji wa aina gani,na je kwenye timu yangu wachezaji hao wapo?Waandishi na wachambuzi wa michezo katika nchi zao waliwashangaa Sakho na Banda kuja kucheza ligi ya Tanzania badala ya kwenda Ulaya. Sisi tunawashangaa waliwezaje kutushawishi Simba tukawasajili
Amewakimbiza halafu alichokifanya mwisho sifuri kabisaKibu ni lofa tu
kilichotokea now ni ushahidi,yanakimbia tu kama wehuukiachana na kipaji kuna watu mle nadhani hata akili timamu hawana
ni kweli yaaani hizi V pasi goli nyingi za waziNimegundua leo kubwa Peter Banda ni winga mzuri ..mwepesi.
Anahitaji kujengewa tu confidence..
Tatizo lile shuti kapazaNimegundua leo kubwa Peter Banda ni winga mzuri ..mwepesi.
Anahitaji kujengewa tu confidence..