Kwa hiyo mkalainishwa na wapiga debe?Waandishi na wachambuzi wa michezo katika nchi zao waliwashangaa Sakho na Banda kuja kucheza ligi ya Tanzania badala ya kwenda Ulaya. Sisi tunawashangaa waliwezaje kutushawishi Simba tukawasajili
Kabisa mkuu. Kwa hii simba mbovu hapa ni out kabsa.Kwa timu hii simba out , mapemaaa
Mwinuke ametoka Gwambina ana miaka 19Kwenye benchi kuna mchezaji anaitwa Jimmyson. ndio nani
Acha ushabiki maandazi........Man of the match mpaka sasa ni Banda au Sakho niambie ni mchezaji gani ameperform kuliko wao uwanjani .Huyu Sakho,Peter Banda inamaana nawao mnawalipia Residence na work permits kweli?
Anyway Mtanzania mwenye asili ya Congo [emoji1078] kafunga
Ni hatari kushiriki michuano ya Ligi Kuu, Azam SFC na ligi ya Afrika ukiwa na golikipa wawili tu unaowaamini langoni. Usishangae hata hao watatu hawatoshi, wanaweza wakaenda Tunisia wote wakakutwa na coronaNje ya mada. Hivi Simba ilimsajili kipa Jeremia Kisubi kumfanyia nini,huku ni kuua vipaji vya watu
Nadhani kwa hali ya Afrika saivi ni lazima uwe na makipa Bora maana kwa figisu zetu hapa Afrika unaweza kuta mechi manula akawa na kadi za njanoNje ya mada. Hivi Simba ilimsajili kipa Jeremia Kisubi kumfanyia nini,huku ni kuua vipaji vya watu
Kweli,labda dogo alifuatahela ya usajiliNje ya mada. Hivi Simba ilimsajili kipa Jeremia Kisubi kumfanyia nini,huku ni kuua vipaji vya watu
mbona umesema kinyongeHuyu Sakho,Peter Banda inamaana nawao mnawalipia Residence na work permits kweli?
Anyway Mtanzania mwenye asili ya Congo 🇨🇩 kafunga
Sio wapiga debe, hadi leo wanawashangaa. Ni sawa na kusema Chama hana lolote ila amesajiliwa RS Berkane kwa sababu za wapiga debe!Kwa hiyo mkalainishwa na wapiga debe?
BANDA & SAKHO Hatari sana hawa vijana.Mkuu umenena, sometimes mchezaji mzuri anaangushwa na uwezo mdogo wa anaocheza nao.
Hata kusema Kibu hajadeliver chochote ni kumkosea haki. Katika mechi ya 3-1 dhidi ya Ruvu Shooting, mimi naweza kusema alikuwa man of the matchMchezaji pekee ambae anatakiwa awekwe benchi mpaka akili zimkae sawa ni Kibu, jamaa aakimbia tu na kupoteza mipira hovyo sijui ni presha za kuto-deliver chochote tangu asajiliwe?