FT: Simba SC 1-0 JKT Tanzania | ASFC | Benjamin Mkapa

FT: Simba SC 1-0 JKT Tanzania | ASFC | Benjamin Mkapa

Waandishi na wachambuzi wa michezo katika nchi zao waliwashangaa Sakho na Banda kuja kucheza ligi ya Tanzania badala ya kwenda Ulaya. Sisi tunawashangaa waliwezaje kutushawishi Simba tukawasajili
Kwa hiyo mkalainishwa na wapiga debe?
 
Hii performance ya Banda&Sakho ni ya kikosi cha kwanza .
 
Nje ya mada. Hivi Simba ilimsajili kipa Jeremia Kisubi kumfanyia nini,huku ni kuua vipaji vya watu
Ni hatari kushiriki michuano ya Ligi Kuu, Azam SFC na ligi ya Afrika ukiwa na golikipa wawili tu unaowaamini langoni. Usishangae hata hao watatu hawatoshi, wanaweza wakaenda Tunisia wote wakakutwa na corona
 
Nje ya mada. Hivi Simba ilimsajili kipa Jeremia Kisubi kumfanyia nini,huku ni kuua vipaji vya watu
Nadhani kwa hali ya Afrika saivi ni lazima uwe na makipa Bora maana kwa figisu zetu hapa Afrika unaweza kuta mechi manula akawa na kadi za njano
Halafu kakolanya akapigwa Covid19
Wakucheza nani?
Benchi atakuwa nan??
Kumbuka last season Al marekh vs Simba kakolanya angepata injury ya kutoendelea na mchezo angeingia Aly salim
 
Mchezaji pekee ambae anatakiwa awekwe benchi mpaka akili zimkae sawa ni Kibu, jamaa aakimbia tu na kupoteza mipira hovyo sijui ni presha za kuto-deliver chochote tangu asajiliwe?
Hata kusema Kibu hajadeliver chochote ni kumkosea haki. Katika mechi ya 3-1 dhidi ya Ruvu Shooting, mimi naweza kusema alikuwa man of the match
 
Back
Top Bottom