FT: Simba SC 1 - 0 JKT Tanzania | NBC PL | KMC Complex | 24.12.2024

FT: Simba SC 1 - 0 JKT Tanzania | NBC PL | KMC Complex | 24.12.2024

Huyu kipa hiki ni kiwango chake cha siku zote au kwasababu anacheza na Simba??
 
Refa anajaribu kwa kila namna kulipa fadhila lakini hawabebeki hawa jamaa.

Yaani refu wanazochezewa jkt ila hiyu mzee ndiyo vile kashakula mlungula mfukoni aibu sana
 
Badala mfanye mambo ya msingi kama kudai katiba mpya nyie mmekalia simba na Yanga
 
Wanasimba tusihofu
Mwamedi tayari kashaongeza bahasha kwenye acc number ya refa wetu kwahiyo zitaongezwa dakika 40 ili tushinde .

Simba nguvu moja
 
Waswahili wanasema usiposhiba kwenye sinia (dkk 90) huwezi kushiba kwenye kijiko.(dakika za nyongeza)
 
Back
Top Bottom