FT: Simba SC 1 - 0 JKT Tanzania | NBC PL | KMC Complex | 24.12.2024

FT: Simba SC 1 - 0 JKT Tanzania | NBC PL | KMC Complex | 24.12.2024

Kocha wetu kwenye sub ni Bure kabisa. Joshua akipoteza mpira hakabi, na hana mbio. Chemalone kwenye pressure huwa anatoa boko. Mechi ilibidi imalizwe na Chamou na Kagoma, sio boya Mutale.
Kocha ni jinga jinga TU hamna kocha hapo anamtoa mpanzu ambaye ana shoot on target 5 anamuingiza mchezaji ambaye hajaprove chochote
 
Papaa John bocco anaingia sasa ili kukamilisha ratiba ya kuwatia simba leo baada ya wenzake kuwachezea na simba wamelainika ute ute
 
Sijawahi kuona mchezaji wa hovyo anayefanya makosa yaleyale kila siku kama huyu Mutale. Anarukaruka tu. Sijui Fadlu anamuingiza kwenye mechi kama hii afanye nini.
 
Back
Top Bottom