FT: Simba SC 1 - 0 JKT Tanzania | NBC PL | KMC Complex | 24.12.2024

FT: Simba SC 1 - 0 JKT Tanzania | NBC PL | KMC Complex | 24.12.2024

Na hii wachezaji wa Simba wakifanya uvivu kidogo tu kama ule wa Kagera basi Simba anakufa
 
MUPANZU nje.

Yeye anajua kupiga golini tu hajui kama yupo na teammates?
JKT wameziba nafasi hata penetration pass ni ngumu kupiga ndio maana anajaribu kupiga mashuti nje ya box

Hata hivyo takwimu zake katika mashuti ni nzuri kwasababu mashuti karibia yote yanatoa nafasi ya kumpongeza kipa zaidi kuliko kumkosoa mpigaji.
 
Jkt walipaswa wawe na magoli hata matatu

Simba ukuta wa mabua sana halafu jkt wanapasua kiungo vizuri ila mbele wako wachache sana inakuwa shida kufunga goli

Wanapiga Square pass sana na back pass sana.
 
Nilichogundua simba inacheza na kushinda kwa bahati tu, wala sio ufundi wa kocha, kocha anapata akili wapi ya kumuanzisha mchezaji ambaye hajaprove chochote kwenye game ngumu kama hii?
 
Nasikia Elie Mpanzu kacheza dakika 70 bila kugusa mpira?
 
Back
Top Bottom