FT: Simba SC 1 - 0 JKT Tanzania | NBC PL | KMC Complex | 24.12.2024

Hivi marefa wa Bongoland huwa hawaweki rekodi ya kadi wanazotoa? Asingejumbushwa kutoa kadi ya pili asingeitoa kadi nyejubdu?
 
Ushindi safi sana maana tungepoteza ingekua njema kwa uto wakijiandaa kucheza na tawi lao
 
Rafarii alikuwa familia tokea mwanzo,,nilijua tu aidha itolewe penalty ya mchongo ama red card,,maana mtu kabanwa mpaka katoa ulimi nje
 
Sema Simba baridi ishaanza kuingia ,hii nibebe haiwapi confidence wachezaji soon mtaona downward spiral
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…