Auto-Marvelt
JF-Expert Member
- Jul 13, 2019
- 1,653
- 3,336
Cha msingi umekomentWana simba hatuna tabia za kimwiko nyuma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cha msingi umekomentWana simba hatuna tabia za kimwiko nyuma
Halafu alivyo kuwa anakimbia naona alijua katoa boko.baada ya goli eti mbona refa kamaliza haraka
Mpaka tuchomwe visu ndio muone ni penatiPenat gani ile wakuuu naomba mnieleweshe
Marahaba Kwa Niaba yaoMarefa Shikamoooni 🤣🤣
Inafikirisha sana namna hii penalty imepatikana leo...JKT wamedhulumiwaKari.a anaua mpira wa hii nchi kwa kutaka kufurahisha tumbo lake,makolo endeleeni kufurahia haya matokeo tusije sikia milio baadae
Labda angeruhusiwa kuingia na miwani huwenda angeiona hiyo aibuKwakweli refa haoni aibu kuonesha mahaba yake na makolo. Sijui katokea wapi huyu kolo
ulitakaje endelea kuteseka kama vp kunywa vidongeKari.a anaua mpira wa hii nchi kwa kutaka kufurahisha tumbo lake,makolo endeleeni kufurahia haya matokeo tusije sikia milio baadae
Utto waneumia sana aisee!Poleni Utopolo .. akina Laban og, ukikaidi, & co
Acheni kulalamika kwa hoja za kijinga.Tunashukuru sana bahasha imejibu
Nguvumoja
kesho atachezesha tena topoloKwakweli refa haoni aibu kuonesha mahaba yake na makolo. Sijui katokea wapi huyu kolo