FT: Simba SC 1 - 0 JKT Tanzania | NBC PL | KMC Complex | 24.12.2024

Thimba ngufu mbiliπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Kocha asifanye kosa la kumuingiza Mutale mechi hii, itakuwa imeisha. Wanaotakiwa kuingizwa ni Chamou Kagoma kuchukua nafasi ya Chemalone na Debora
 
MUPANZU nje.

Yeye anajua kupiga golini tu hajui kama yupo na teammates?
 
Mutale anaingi kuchukua nafasi ya Mpanzu

Wakati Ateba anatoka nafasi yake ikichukuliwa na Mukwala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…