FT: Simba SC 1 - 0 KMC | NBC Premier League | Sheikh Amri Abeid Kaluta Stadium -Arusha | 25.05.2024

FT: Simba SC 1 - 0 KMC | NBC Premier League | Sheikh Amri Abeid Kaluta Stadium -Arusha | 25.05.2024

Sio ushindi pekee ndio itakayoipa Simba nafasi ya pili bali ni ushindi wa magoli matano au ushindi wa magoli machache huku ikimuombea Azam afungwe au atoe sare.
Labda wauibe huo ushindi wa goli nyingi
 
Pamoja na Simba kuingiza pesa nyingi mwaka jana, ndio club iliyofungwa magoli mengi msimu huu ikiwa na wastani wa goli moja kwa kila mechi.
Ndio timu iliyosajiri wachezaji wakigeni wa bei chee zaidi.

Simba inastahili kabisa kushika nafasi ya tatu kwenye ligi msimu huu.
 
🤣🤣🤣

Goli lililotupa pointi 3 mechi ya 29 dhidi ya KMC kule Arusha!

Iwepo kwa kumbukumbu kwa ajili ya vizazi vijacho..

Alafu kipa na mchezaji mwenzake wanapongezana 🤣🤣🤣 baada ya kutuzawadia goli NGURUWE FC!

 
Back
Top Bottom