FT: Simba SC 1 - 0 KMC | NBC Premier League | Sheikh Amri Abeid Kaluta Stadium -Arusha | 25.05.2024

FT: Simba SC 1 - 0 KMC | NBC Premier League | Sheikh Amri Abeid Kaluta Stadium -Arusha | 25.05.2024

Kuna watu Simba ikishinda mechi zake wanabanwa kuhemaa😊 utasikia ooh kibahashaa Mara ohh Nini Nini😅😅😅
Uchungu uchungu, mabao ya simba yanaleta uchungu mapema mno, chap chap hapo hapo. Na hapo msimu ni mbaya sijui kipindi inachukua mfululizo hali itakuaje.
 
Mpira wenu ni changamoto mnacheza kama mme kata tamaa
 
Ila Saido msimuuze atawasaidia sana msimu ujayo,ikiwezekana,muwekeni kwenye benchi la ufundi kwa ushari, si unajua kijiji lazima kiwe na wazee.
 
Simba hamna kitu, niliwaona Singida, wanalala regency hotel hamna kitu kabisa. Hujui hata wanafanya mazoezi saa ngapi, jioni wako busy na wahudumu, nadhani mechi ile walidroo. Wamekata tamaa. Mo muongo muongo. Na wakiendelea hivi, Yanga watatawala sana ligi ya bongo
 
Si mlimuongeza mkataba baada ya kufungana na Mayele, msihivu mechi ijao anaweza weka goli kumi akamfikia K na Feisal maana msimu uliopita aliweka nne akamfikia Mayele na makataba mkamuongezea.
Akiongezea mkataba si mnavunja? Au mmezoea free agent?
 
Back
Top Bottom