FT: Simba SC 1 - 0 KMC | NBC Premier League | Sheikh Amri Abeid Kaluta Stadium -Arusha | 25.05.2024

FT: Simba SC 1 - 0 KMC | NBC Premier League | Sheikh Amri Abeid Kaluta Stadium -Arusha | 25.05.2024

Leo Timu bora kuliko zote Africa Mashariki na Kati kwa mujibu wa CAF, Mnyama Simba Sport Club anakutana na KMC katika mchezo wa NBC Premier League.

Simba inaingia uwanjani ikiwa inawania nafasi ya pili ambayo inaishikilia timu ya Azam hivyo ushindi pekee ndio utakaoiweka katika nafasi nzuri ya kuwa wa pili.

Mchezo huu utafanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Kaluta, mkoani Arusha ambapo Simba wameamua uwe Uwanja wao wa Nyumbani.

Karibuni
GUVU MOYA 👹
 
Huyo Kipa wa KMC inawezekana ni shabiki wa Simba au kafuata maelekezo aliyoambiwa ya kibahasha
 
Kuna watu Simba ikishinda mechi zake wanabanwa kuhemaa😊 utasikia ooh kibahashaa Mara ohh Nini Nini😅😅😅
 
Back
Top Bottom