Hardlife
JF-Expert Member
- Apr 11, 2021
- 2,758
- 6,299
Mwaka jana Mayele alifunga goal Vs Ihefu Yanga akashinda 1 bila baada ya round ya kwanza Yanga kupoteza 2-1. Keeper wa Ihefu alitaka kuanzisha mpira mchezaji wa Yanga akaja kwa nyuma akaucheza Mayele akaweka kambani. Sijui unakumbuka? Vipi lile goal lilikuwa match fixing?Huyo Kipa wa KMC inawezekana ni shabiki wa Simba au kafuata maelekezo aliyoambiwa ya kibahasha