Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Kwenye mechi ya leo kama Singida Black Stars hawajanyimwa penati 3 basi ni moja kwani inaonekana dhahiri kwamba refa alipanga Simba lazima waibuke washindi wa hiyo mechi.
Tanzania tuna tatizo kubwa sana la kukosa waamuzi wazuri wa mchezo wa soka, wanapochezesha mechi zinazohusisha timu mbili kubwa za Tanzania dhidi ya vilabu vingine vidogo mara nyingi hawatendi haki kwa vilabu hivyo vidogo.
Ndo kwamba nini labda...huko hawachezeshi marefa wa TTF au...Njoo final ya CRDB confederation cup
Unauliza maswali gani hayo ngara23? Kwani fainali ya CRDB imepangwa ichezwe lini?Ligi kwanini isiishe
Nyinyi wenye quality ya juu mmefika wapi CAF? mmeishia makundi na ligi kuu mna timu 8 mnadhamini uhakika wa point 48 mnao,, timu mbovu , mara ya mwisho kufunga Simba itakua msimu ulioisha kwa kumhonga manula na inonga na timu ilikua Haina ubora ..sasahivi ndio mtakua maana ya ubaya ubwela kenge nyie😂Hivi mna nini cha kuogopwa na Yanga??
Yanga wanatetea haki.
Na shabiki yoyote wa ball lazima ataelewa!
Hatuna cha kuwahofia ninyi hata kimoja tena kipindi hichi ambacho quality yenu iko chini sana
Haki gani hiyo ambayo hadi CAS wameshindwa kuiona?Hivi mna nini cha kuogopwa na Yanga??
Yanga wanatetea haki.
Na shabiki yoyote wa ball lazima ataelewa!
Hatuna cha kuwahofia ninyi hata kimoja tena kipindi hichi ambacho quality yenu iko chini sana
Huna akiliUnauliza maswali gani hayo ngara23? Kwani fainali ya CRDB imepangwa ichezwe lini?
Hiyo final mkija tunataka waamuzi waweNdo kwamba nini labda...huko hawachezeshi marefa wa TTF au...
Nyie bana ni mapoyoyo...
Felakuti.Nyinyi wenye quality ya juu mmefika wapi CAF? mmeishia makundi na ligi kuu mna timu 8 mnadhamini uhakika wa point 48 mnao,, timu mbovu , mara ya mwisho kufunga Simba itakua msimu ulioisha kwa kumhonga manula na inonga na timu ilikua Haina ubora ..sasahivi ndio mtakua maana ya ubaya ubwela kenge nyie😂
Lazima uone maana Heri Sasii amefanya yakeAibu naona mimi