FT | Simba SC 1-0 Singida Black Stars SC | NBC premier League | KMC Complex | 28.05.2025

Tarehe inavyozidi kukabribia sisikii Hatuchezi
Bodi ya Ligi ijiuzuru
Hatumtaki Karia
Tupewe pointi 3
Tuombwe radhi

Kwa mbaali, naanza kuona lawama zinaanza kutangulizwa kwa waamuzi
 
Nyie hatu hatu hatu fc....mna mambo baada ya kuiteka soka la bongo na mitimu 8 fc yenu leo simba inawaumaa
 
Tarehe inavyozidi kukabribia sisikii Hatuchezi
Bodi ya Ligi ijiuzuru
Hatumtaki Karia
Tupewe pointi 3
Tuombwe radhi

Kwa mbaali, naanza kuona lawama zinaanza kutangulizwa kwa waamuzi
Au tucheze tuwafunge
 
Tarehe inavyozidi kukabribia sisikii Hatuchezi
Bodi ya Ligi ijiuzuru
Hatumtaki Karia
Tupewe pointi 3
Tuombwe radhi

Kwa mbaali, naanza kuona lawama zinaanza kutangulizwa kwa waamuzi
Nyie tarehe 8 mlikimbia getto sasa hivi vsimi ndio vina wawasha au sio?
 
Ateba anaingia Mukwala nje. Dk 81...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…