FT: Simba SC 1-0 Vipers SC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa Stadium | 07.03.2023

Wapuuzi walijikuta wajuaji sana acha tuwashushie nondo nzito zile zinazobebwa site
Tatizo utopolo wamezidi ulegevu, wakajua wote tunafanana, piga nje ndani warudi kwao ...
 
Muzamir + SAIDO Walitakiwa wamchezeshe Phiri...
Labda itoke kwa Kwa CHAMA lakini anazunguka kulia kushoto...
Halafu cha kushangaza watampumzisha Phiri wakati ndiye mchezaji efficient zaidi pale mbele nafasi ikitokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…