FT: Simba SC 1-0 Vipers SC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa Stadium | 07.03.2023

FT: Simba SC 1-0 Vipers SC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa Stadium | 07.03.2023

Wapuuzi walijikuta wajuaji sana acha tuwashushie nondo nzito zile zinazobebwa site
Tatizo utopolo wamezidi ulegevu, wakajua wote tunafanana, piga nje ndani warudi kwao ...
 
Kwa mliopo safarini haya ndio mazingira ya goli yalivyokuwa, mnaemuona chini ni kipa wa Vipers akiwa hajui nini kimetokea
9BF097FF-972C-4530-A48C-79D3DE71A5EE.jpeg
 
Muzamir + SAIDO Walitakiwa wamchezeshe Phiri...
Labda itoke kwa Kwa CHAMA lakini anazunguka kulia kushoto...
Halafu cha kushangaza watampumzisha Phiri wakati ndiye mchezaji efficient zaidi pale mbele nafasi ikitokea.
 
Back
Top Bottom