mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,586
- 11,227
Nikajua ndo dakika 90 ningekuonea hurumaYamekuwa haya tena 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Wangu yuko Simba. Wakishinda hivi anashiba bila kula... sijui mtani Kalpana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikajua ndo dakika 90 ningekuonea hurumaYamekuwa haya tena 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Wangu yuko Simba. Wakishinda hivi anashiba bila kula... sijui mtani Kalpana
Tatizo utopolo wamezidi ulegevu, wakajua wote tunafanana, piga nje ndani warudi kwao ...Wapuuzi walijikuta wajuaji sana acha tuwashushie nondo nzito zile zinazobebwa site
Amepigwa mbiliVipi kule kwa Horoya mnaotazama?
Na waganda ndio waliotuletea ukimwiTatizo utopolo wamezidi ulegevu, wakajua wote tunafanana, piga nje ndani warudi kwao ...
Simba ishazoea hatua hiyo haiitaji maombi ya wana uto.Wote tuende next stage, Utani wa jadi tuuweke pembeni
Hii ni habari njema ama mbaya?Amepigwa mbili
Huoni hapo juu nimewatakia ushindi mkuu?.Wote tuende next stage, Utani wa jadi tuuweke pembeni
Teh teh teh😂😂...wanafuata mkumbo tu hao.Hawa vifaranga sio wa kutuita Zuwena
Hadi Vipers mnabana kendeNipo kitengo cha kubana pumbu. Siwezi kukoment muda wote
Asante sana sana ndugu yanguSimba 1: Viper 0
Elli
Pamoja sana mtaniAsante sana sana ndugu yangu
Njema mno....Hii ni habari njema ama mbaya?
Halafu cha kushangaza watampumzisha Phiri wakati ndiye mchezaji efficient zaidi pale mbele nafasi ikitokea.Muzamir + SAIDO Walitakiwa wamchezeshe Phiri...
Labda itoke kwa Kwa CHAMA lakini anazunguka kulia kushoto...
Mwarabu aongeze mbili nyingine, ili Simba Sc twende zetu nafasi ya pili..Amepigwa mbili
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na waganda ndio waliotuletea ukimwi
Hawa tunawapiga kwa vingi