FT: Simba SC 1-0 Vipers SC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa Stadium | 07.03.2023

FT: Simba SC 1-0 Vipers SC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa Stadium | 07.03.2023

Kwa wale wanao beti ...simba inashinda ila vipers inapata goli hata moja
 
Sawa, tutakuwepo hapa by saa moja!!

Me nawatakia kila la heri mshinde leo, mkifungwa me sihusiki.

Yaani leo mufungwe/musifungwe kwangu mwerere tu! Ila moja na mbili hazifanani.... kuna nafasi moja hapo inaizidi nyingine...😂😂😂😂
 
A67FD0A1-CC7E-4CE2-9C87-08821CEE3FDE.jpeg


Tuna hasira wakipona sana tatu 😡😡😡
 
Vipers wapuuzi kweli, tumewanyoosha kwao halafu wanatuita Zuwena, wana visirani vya kike[emoji1787][emoji1787]Zuwena ni nyie utopolo mlionyooshwa nyumbani kwenu🫣🫣🫣
Utopolo tena?
 
Mo ANASHIDA sana.

Tunataka Quality players.
Si Hawa wachezaji wa Buku Buku.
Akina Kanute, sawadogo, Banda, Baleke, Ottara, Dejan.

Asituletee mambo za ajabu ajabu kabisa..
Aige mfano kwa GSM.
Bangala, Aucho, mayere.
 
Mo ANASHIDA sana.

Tunataka Quality players.
Si Hawa wachezaji wa Buku Buku.
Akina Kanute, sawadogo, Banda, Baleke, Ottara, Dejan.

Asituletee mambo za ajabu ajabu kabisa..
Aige mfano kwa GSM.
Bangala, Aucho, mayere.
Tunataka?!! Kwa nini unaagiza? Nini kinakupa haki ya kuagiza. Watu wanazungumzia mechi huyu usajili
 
Back
Top Bottom