Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 6,782
- 14,148
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mechi tunaua mtu mapema tu kwa goli hizo 4Mbumbumbu FC, Makolo Kolo FC, Zuwena FC, Kinyumenyume FC, Ngada FC Wazee Wakwenda Na Matokeo Uwanjani [emoji1787]
Sio kila ombi Mungu analiskia na kutolea majibu,Naomba haya makolo koloyanyukwe zingine 3-0 mji utulie maana maiti kapiga chafya.
Leo majira ya saa 1:00 usiku, katika dimba la Benjamin Mkapa, Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika watakuwa wanawakaribisha Vipers Sc katika mchezo muhimu sana.
Huu ni mchezo ambao Simba anahitaji alama zote 3 kwa hali na mali ili kujiwekea mazingira mazuri ya kufuzu kwa raundi ya robo fainali.
Je ile kauli ya kwa mkapa hatoki mtu itarejea tena leo? Naamini itarejea na Simba ataibuka na ushindi mnono.
Simba atashuka dimbani akiwa ana alama 3 huku vinara wa kundi hilo Raja wakiwa na alama 9 na wao watashuka dimbani ugenini muda mmoja kucheza na Horoya.
Kama ilivyo ada, mechi itakuwa mubashara, ZBC 2 ya AzamTv, Veriety 3 chaneli 228 ndani ya DStv na wale wa kustream basi utaipata mechi ndani ya YacineTv.com
Tukutane hapa saa 1:00 usiku
Yes, akina Mo Extra, Mo sabuni, Mo Ukwaju, Mo kashata, Mo bodaboda pamoja na Vunja bei. Nusu ya uwanja ni suti tupu!Msishangae leo nusu ya uwanja wakiwa wamevaa masuti. Makampuni mengi yana ushirikiano mzuri na Simba na leo yanakuja kutoa sapoti.
Na pisi kali zote za mjini zitakuwepo. Msiige tu maana nyie hamna hata chembe ya aibuYes, akina Mo Extra, Mo sabuni, Mo Ukwaju, Mo kashata, Mo bodaboda pamoja na Vunja bei. Nusu ya uwanja ni suti tupu!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
ngoja tusubiri.Mnyama anashinda 4g
Weka ufafanuzi vizuri wa namna suti zinavyotakiwa kuwa, raia wanaweza wakajua umemaanisha hiviMsishangae leo nusu ya uwanja wakiwa wamevaa masuti. Makampuni mengi yana ushirikiano mzuri na Simba na leo yanakuja kutoa sapoti.
Anapakuliwa leo.Kulitaka Mwana Kulipewa Mwana
[emoji881][emoji881]Simba SC Mnyama Mkali Mwituni[emoji881][emoji881]
Mnakula 3 kama mmesimama!!ZBC miyeyusho sana sio wa kuwapa nafasi kubwa ya kuonesha hii mechi
Mkuu Sultan MackJoe Khalifa nipo pamoja na Nguvu Moja ya Mnyama [emoji881] kama ilivyo desturi.