FT: Simba SC 1-0 Vipers SC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa Stadium | 07.03.2023

FT: Simba SC 1-0 Vipers SC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa Stadium | 07.03.2023

To all SIMBA haters this is for you[emoji35].. SIMBA haichangamani na wajinga! Dua zote za kuiombea SIMBA ishindwe ZITASHINDWA!
2290d9abbc349283fedbb17ee65d7e32.jpg
 
Mo ANASHIDA sana.

Tunataka Quality players.
Si Hawa wachezaji wa Buku Buku.
Akina Kanute, sawadogo, Banda, Baleke, Ottara, Dejan.

Asituletee mambo za ajabu ajabu kabisa..
Aige mfano kwa GSM.
Bangala, Aucho, mayere.
Ahhahahahah hahaah ila jamani sasa Dejan yuko wapi au upo sitimbi? Bado mnajua Dejan yupo Simba..
 
Daah baada ya dk 90......aliyemleta Manzoki kwenye mkutano wetu ni nani,tangu lini yule anakadi ya Simba......MO aweke B20 anatuzingua hapo itakuwa ni afta
Full time 1-1


Guvu moya 😀
 
Back
Top Bottom