FT: Simba SC 1-0 Vipers SC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa Stadium | 07.03.2023

FT: Simba SC 1-0 Vipers SC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa Stadium | 07.03.2023

Leo bia zinashuka vzr kbs. Na hili jua la mjini una tii kiu yako tu.

Bila shaka ushindi mnono unaenda patikana.

Hivi ahadi ya mama bado ipo? Naona kama 20m inachuliwa leo.
 
Nasisitiza kua leo ni kati Afadhali vs Pitelea mbali, kwahiyo yeyote anaweza poteza leo.
Binafsi namuombea Potelea mbali ashinde.
 
Hii mechi haina ladha bora kucheki gemu ya Horoya vs Raja casablanca.

Yes, kwa mashabiki wa Utopolo FC a.k.a. Magunia ya Mchanga FC. Anzisheni basi uzi wa Horoya vs Raja halafu mkomae huko huko
 
Ohoo..jipangeni. tutakimbiana humu..
Ile timu haiwezi kuisumbua Simba kwanza hata nguvu ya kupambana haina

Isha lose hope, hakuna namna inaweza ikapata nafasi ya kusonga mbele hivyo sitegemei kuona intensity kubwa zaidi ya kuona wakicheza kichovu kama De Agosto walivyokuja hapa nyumbani
 
Kila la kheri Mnyama.

Baada ya kuona kuwa ulozi wa majirani zetu ndio wenye nguvu, tumeamua kutumia neno wenyenchi ndio tutapata ushindi, na wale wananchi original kesho nao watashinda. Ngoja tuone kifuatacho.
 
Mashabiki wachache sana mpaka sasa ngoja tusubiri saa 1 lililobaki.
 
Wenye Nchi SIMBA SC [emoji881]
a4f969a97744602e086765151fdfc4d1.jpg
 
Kwani mwamba Kibu ana shida gani?, kwenye kikosi hata kwenye mbao ndefu hayupo
 
Kwani mwamba Kibu ana shida gani?, kwenye kikosi hata kwenye mbao ndefu

Back
Top Bottom