FT: Simba SC 1-0 Vipers SC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa Stadium | 07.03.2023

Hesabu iko Hivi.

Horoya Kwa Namna Yoyote ile Tumnyoe kwa Mkapa, Halafu tufungwe hata 100 na Raja Kwao. Na Yeye Ashinde hata 100 kwa Vipers Then Tujue kwenye msimamo wa Kundi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Simba tuanze Kusafirisha Waganga wote Wa Mikoani waje Dasilamu walale hadi tutakapo Cheza na Horoya
 
Tutadhalilika zaidi
Wale washenzi wanaweza kuingia full mkoko wakati sisi tunaenda kukamilisha ratiba tukiwa na uhakika wa kuvuka. Tukienda kwa mentality ya kupambana kulinda heshma ya club sawa.
 
[emoji15][emoji15]makubwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nani huyo mgeni wetu ...
Nilikaa mbali kwa hiyo kuna vitu nilikuwa nahitaji assist kutoka kwenu ambao mko kwenye screen
 
TANGAZO
Kesho hatutaki dunduka yeyote atuanzishie uzi, tutaanzisha wenyewe baada ya dakika 3 na kuendelea. Baada ya mchezo kuanza. Mzingatie hili Tangazo. Tuna letu jambo....
Toa hela ya tangazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…