Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
Kwenda wapiBall litembee
Acha kabisa hao jamaa ni wa moto, nimecheki game unaona kabisa wamelenga nusu fainaliIbenge hashikiki,kempasua mtu 2-0.
Kashapita tayari yule roboAcha kabisa hao jamaa ni wa moto, nimecheki game unaona kabisa wamelenga nusu fainali
Pale wamefosi basi tu,.marekebisho bado sanaPitch Ya Uwanja Wa Taifa Imeoza [emoji1787] Yani Wanashindwa Hata Kupaka Chaki Mistari Ionekane Vizuri