FT: Simba SC 1-0 Vipers SC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa Stadium | 07.03.2023

FT: Simba SC 1-0 Vipers SC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa Stadium | 07.03.2023

Huu uwanja bila kumrudisha mchina auweke sawa, kuna hatari hautaruhusiwa kuchezea Super Cup. Sioni ukiweza kutengenezwa wakati bado unatumika karibu kila wiki.
Muda wa kufanya matengenezo bado ni mkubwa tu.
 
Kwa nini CHAMA anashuka sana chini.?
 
Pitch Ya Uwanja Wa Taifa Imeoza [emoji1787] Yani Wanashindwa Hata Kupaka Chaki Mistari Ionekane Vizuri
Leo anacheza simba,Kesho yanga,keshokutwa atakuja Mwamposa uwanja unapumzika siku 1 dozi inaendelea utaacha kuoza?Wakati wenzetu Halftims tu uwanja unapigwa maji sijui kama bustani UWANJA UPUMZISHWE ule wakachezee Santiago de Manungu stadium uko
 
Pressure ya simba sawa....
Ila naogopa sana counter za vipers
 
Back
Top Bottom