FT: Simba SC 1-0 Vipers SC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa Stadium | 07.03.2023

FT: Simba SC 1-0 Vipers SC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa Stadium | 07.03.2023

Yale madeni yenu ya goli mbili tayari tumeshawalipia

Sasa tunaanza kufunga yakwetu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]halafu tukiwaita wadogo zetu hawataki🫣🫣
 
[emoji23][emoji23] nipo kipenzi hawa vipers mbona wanashambulia hivi naombea dk 45 ziishe haraka

Kesho tutakua pamoja mtani uzalendo kwanza [emoji23]
Vizuri dear, ngoja wawachangamshieni damu wachezaji wenu 😅😅😅😅
 
Back
Top Bottom