denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,509
- 68,228
Haya, siku hazigandi.Waliotea tu na ilikuwa mechi ya kirafiki. Hapa mmekutana guvu moya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya, siku hazigandi.Waliotea tu na ilikuwa mechi ya kirafiki. Hapa mmekutana guvu moya
We ngoja mnapigwa hii mechiVipi mnacheza mieleka?
Ndio maana halisi ya timu kubwaMbeleko mpaka huku
Nasisi Yanga tulimfanyia nini Mazembe? Vipers si wazuri kwenye kufunga, wanaotea tu. Timu imeshajiishia hiyoWalimtoa Mazembe na wakawapiga utopolo 2-0
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]halafu tukiwaita wadogo zetu hawataki🫣🫣Yale madeni yenu ya goli mbili tayari tumeshawalipia
Sasa tunaanza kufunga yakwetu
Kwa tulio uwanjani tunaona ni Mbeleko,huko kwenye tivi mnaoangalia mara 2 2 ndiyo mnaweza kutupa mwongozoMbeleko mpaka huku
Upo mzee?Mbeleko mpaka huku
Vizuri dear, ngoja wawachangamshieni damu wachezaji wenu 😅😅😅😅[emoji23][emoji23] nipo kipenzi hawa vipers mbona wanashambulia hivi naombea dk 45 ziishe haraka
Kesho tutakua pamoja mtani uzalendo kwanza [emoji23]
Hahaaaaahaaahatufuatilii
Mwarabu vipi tenaRaja nae kala nyekundu
Yanga mwakani wajitahidi kuingia Makundi CAF aisee, sio haya mashindano ya chekecheaKwa maslahi mapana ya mpira wetu naomba Simba na Yanga waingie robo tuweze kumantain timu 4 kucheza mashindano ya CAF.
Nasisi Yanga tulimfanyia nini Mazembe? Vipers si wazuri kwenye kufunga, wanaotea tu. Timu imeshajiishia hiyo