FT: Simba SC 1-1 Namungo FC | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 09.11.2023

Mtupe matokeo maana uku umeme wameshabeba,na hawa Azam hii wanayoiita azam Max ni ujinga mtupu.Kukiwa na mechi wanakwambia kuna tatizo ikiisha inakaa vizuri.Sasa najiuliza kwanini wanadanganya watu wenye madishi kua ukishalipia unapata huduma.Ujinga sana basi tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mbon nipo na azam max ipo fresh tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…