Mtani samalekoo...ππππ€ͺ
Wewe ni kuku kweli hivi kwa akili yako ingekuwa kama round ya kwanza haina maana basi kocha wenu asingefukuzwaHiyo mihemko mliyonayo utopolo round ya pili mtatafutana msijue mlikopotelea... mmezoea kuishi kwa kukariri.. afashali mnyama niharibu round ya kwanza kuliko ya pili...
Nguvu Moja.
Ipo siku mashabiki wa 5imba wataingia wao uwanjani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
ππππ€ͺ Ulijifucha nlipopigwa 1 mmerudisha umerudi na wewe mtani π ulikua unalia ukiwa wapi?Mtani samalekoo...
Jioni njemaaa
Naona unapenda sana kubugia inzi wa kijani πHebuuu nikachekee chooni mimiiπΆπ»ββοΈπΆπ»ββοΈπΆπ»ββοΈπ€£π€ π€!
Kinachoangaliwa sio idadi ya mechi ambazo mmepoteza, Bali ni mwenendo mzima wa timu yenu. Kipindi nyie mnajiimarisha, wenzenu wapo imara kitambo.Usajili wa 2 players wakizidi sana 3 na kocha mwenye mbinu. Simba imepoteza mechi moja msimu huu kama mpinzani wake Yanga. Ligi ndo kwanza ipo mwanzoni. Muda wa kujiimarisha na kuimarika upo wa kutosha.
Timu mbovu haijagundishwa kwa super glu man... ni suala la muda tu, acheni kukariri maishaKaka unajipa imani wakati mnatimu mbovu sana
Nani aliyekwambia mimi sitaki ubingwa?Wewe kaa na records zako sisi tunataka ubingwa last season mlikua mnatafta kiatu ndio maisha mliyo chagua
Ndio umeamka kutoka usingizini we chura?!Umevurugwa sio bure,eti point 1
Mnajigeuza wapiga ramli sasa, waganga wa kienyeji..Kuna uwezekano msipo kaaa sawa mkamaliza ligi mkiwa nafasi ya 3
Makolo kila mtu kachanganyikiwa.... Hawajui walaumu kipa, beki au Kocha πWenyewe kwa wenyewe wanatafutana mchawi ninani bwahaaaa!!
Hebuuu nikachekee chooni mimiiπΆπ»ββοΈπΆπ»ββοΈπΆπ»ββοΈπ€£π€ π€!
ποΈ
Kinachoangaliwa si mechi unazopoteza? Mwenendo mzima unaupimaje sasa kama si kupoteza point katika mechi? Kwamba unaweza poteza mechi na ukawa na mwenendo mzuri kwenye ligi?Kinachoangaliwa sio idadi ya mechi ambazo mmepoteza, Bali ni mwenendo mzima wa timu yenu.
Wenzetu kina nani? Kama ni Yanga nae amepoteza mchezo na huenda atapoteza tena. Kila wakati timu inajiimarisha na kusahihisha udhaifu unaojitokeza. Kujiimarisha ni jambo endelevu.Kipindi nyie mnajiimarisha, wenzenu wapo imara kitambo.
Hebu niambie, ni Kocha gani mwenye mbinu mnayemtaka? Na awe na mbinu za aina gani? Maana mbinu objective hazijafanya kazi.
Wakakishushe ππππHivi kile Kibegi kipo Mlimani pengine ndo kinatutia Laana
Za wapi ushinde.Simba akishinda game tatu mfululizo utawaskia vyura ooh refa kawabeba sijui nini na nini, sasahivi mnacheza tu sindimba
Kwani msimu uliopita, wewe na Yanga nani alikuwa kafungwa mechi nyingi?Kinachoangaliwa si mechi unazopoteza? Mwenendo unaupimaje sasa kama si kupoteza point katika mechi? Kwamba unaweza poteza mechi na ukawa na mwenendo mzuri kwenye ligi?
Kuhusu kocha si mara ya kwanza Simba kufukuza kocha.
Ukiona mtu mzima mama!analia mbele za watu ujue kuna jambo!!ππππ€ͺ Ulijifucha nlipopigwa 1 mmerudisha umerudi na wewe mtani π ulikua unalia ukiwa wapi?View attachment 2808963
Jamaa wanalia sana msimu huu yaan wanaishi na presha presha presha presha π€ͺπUkiona mtu mzima mama!analia mbele za watu ujue kuna jambo!!