Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Atuondokee hapaNamungo 2, Simba 1.
Kuna shabiki fulani alisikika akisema.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atuondokee hapaNamungo 2, Simba 1.
Kuna shabiki fulani alisikika akisema.
Mkuu ebu weka kikosi chote twoneMbona waliouza mechi wamepangwa?
Mdada upo?.hujajifungua tuu naona mimba kubwa hapo kwny AvatarSawa kaka umesikika
Wahusika wafunge kamera.Simba wanaupenda Nini huu uwanja wa uhuru? Yaani uwanja hauna camera, unaangalia mechi kama inarekodiwa na simu bana
Una faida kwenye mishe za marefa, camera haiwezi ku zoom vizuri matukioSimba wanaupenda Nini huu uwanja wa uhuru? Yaani uwanja hauna camera, unaangalia mechi kama inarekodiwa na simu bana
Nimekusoma vizuriUna faida kwenye mishe za marefa, camera haiwezi ku zoom vizuri matukio
Akili nyingiNimekusoma vizuri
Hili nimelionaUna faida kwenye mishe za marefa, camera haiwezi ku zoom vizuri matukio
Kama nyie mlivyobebwa jana...Labda njaa na kwa msaada wa marefa
Yes,na wapo first eleven kabisa,kasoro golini kuna AyubuMkuu ni kweli wote wapo?
Sasa GENTAMYCINE alikuwa anatupanga kwa uongo ili agundue nini?Yes,na wapo first eleven kabisa
Goli tano lazima watoke mapacha waliofananaMdada upo?.hujajifungua tuu naona mimba kubwa hapo kwny Avatar
Hata ile ya jumapili tulibebwa ndio tukawafunga 5.Kama nyie mlivyobebwa jana...
Aje aisee atuokoeAnafundisha simba queens
Sasa hivi sisikii commenters wakisema lile neno ukuta wa Jericho mara electric fence [emoji2772][emoji2772]Uto mnahangaika kama kuku...