FT: Simba SC 1-1 Namungo FC | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 09.11.2023

FT: Simba SC 1-1 Namungo FC | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 09.11.2023

Game plan ikigonga mwamba huwa hakuna ujanja!! Ngoja tuone leo kama kina Matola watakuja na game plan yenye meno!! Yanga wako overated kutokana na kuifumania Simba kibahati bahati!! Namungo wakidhani wanakutana na paka mwisho wa siku wasitafute mchawi!!
 
Simba anashinda mapema tu.
Kama Namungo wataamua kuwa watiifu wa kusawazisha hali ya hewa iliyopo msimbazi. Bila hivyo mechi ngumu hasa ukiangalia approach waliyoingia nayo dhidi ya Yanga. Walipaki basi haswa Japokuwa kocha alikuwa mwingine.
 
Onana ana cheza kiwepesi sana, kilaini mno, sijui niseme kibishoo. Akikaza anaweza kuwa mchezaji hatari.
 
Back
Top Bottom