ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
[emoji2772][emoji2772][emoji2772][emoji2772]Lolote baya liwakute Mizoga FC.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2772][emoji2772][emoji2772][emoji2772]Lolote baya liwakute Mizoga FC.
Mtangazaji atakua kapitiwaSasa hivi sisikii commenters wakisema lile neno ukuta wa Jericho mara electric fence [emoji2772][emoji2772]
Kama kawaida mbona liko waaaaziiiiHata ile ya jumapili tulibebwa ndio tukawafunga 5.
Lazima apitiwe [emoji2772][emoji2772]sio mchezoMtangazaji atakua kapitiwa
Venyesi Fc...kama kawaidaMitopolo imejaa humu.. na miroho yao mbaya
Hajapewa hela leo?Baleke mzito sana
Mchezo huu hauhitaji hasiraBalekee matako yake
Anawasomba?Leo ONANA nacheza vizuri sana..
Kwa wachezaji gani mlionao benchi?Natamani Simba tungekuwa na sura mpya mfumo hapo katikati ukabadilika kidogo kina saido, Chama wakawa wanaingia Sub.
Kama hawapewi nafasi mashabiki hatuwezi fahamu uwezo wao. Binafsi naona kama watu kama saido na chama kwa sasa ni wazuri iwapo tu wapinzani wameshachoka na Simba inashambulia.Kwa wachezaji gani mlionao benchi?