FT: Simba SC 1-1 Namungo FC | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 09.11.2023

Natamani Simba tungekuwa na sura mpya mfumo hapo katikati ukabadilika kidogo kina saido, Chama wakawa wanaingia Sub.
 
Kwa wachezaji gani mlionao benchi?
Kama hawapewi nafasi mashabiki hatuwezi fahamu uwezo wao. Binafsi naona kama watu kama saido na chama kwa sasa ni wazuri iwapo tu wapinzani wameshachoka na Simba inashambulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…