Kurunzi
JF-Expert Member
- Jul 31, 2009
- 9,753
- 10,747
Muda bado sana usikate tamaatani mpira unadundaDuuuh! hii Simba,inamaliza mwaka kijingajinga sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muda bado sana usikate tamaatani mpira unadundaDuuuh! hii Simba,inamaliza mwaka kijingajinga sana.
[emoji2772][emoji2772]Tena upupu wa makalio
Leo nadhani ni uwanja wa uhuru kuwa mbovuJuzi ilikua uchawi leo una maelezo gani ndugu mjumbe[emoji441][emoji441][emoji2772][emoji2772]
Lipo sahihi kabisaHili bango limekosewa au ndiyo hali halisi?View attachment 2808861
Moja bila tayari 😆😆😆🤪Mdada upo?.hujajifungua tuu naona mimba kubwa hapo kwny Avatar
AahaaaaaLeo mambo ni mawili tu. Simba afungwe na Namungo ama Namungo amfunge Simba
Kama hivyo ni sawa. 😂😂😂😂
Kheeeh' nimesogea pembeni kabisa kwenye kona dada angu, cha kufia ni nini..!
Igweeeeeeeeeeeeehh!Hahahaaa. Tunataka vita viibuke msimbazi this time.
#Wappiggwe. 😂
Ana umri gani? Binafsi naona alipaswa kuwa super sub. Kuwe na CAM mkali ambaye anakaba tukiwa hatuna mpira. Same to chama.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Simba hatuna team kabsa kuanzia wachezaji viongozi mpaka mashabiki ni majanga
AKikujibu ntag[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hadi mashabiki Mkuu?
Ligi bado mbichi Sana, Simba bado wana nafasi ya kujirekebisha kama wakiamua lakini.Kuliko tutoke droo, bora tufungwe.
Ili watu wawajibike.
Mungu saidia. Ama tushinde au tufungwe. Droo isiwepo.
Miaka mingi sis not see you[emoji23][emoji23]